Natafuta dada wa hiari

Natafuta dada wa hiari

Aisee usijali utapata!
Umenikumbusha jamaa mmoja alisema "if it..."
Ngoja nikuitie dada yako Evelyn Salt..
 
Last edited by a moderator:
Shida ni lugha tu..ningekupetipeti mdogo wangu.
 
Im from kaskazini tz looking for a sis* who will like me to be his adopted brother , natoka kaskaz namuhitaji dada wa hiari alie tayar ani check kw mafahamiano zaid, dada ni dada umri wake i dont measure, but me im 25yrs.
Contact email chugaraa.tz@gmail.com or inbox me PM

aisee jitahidi awe si zaidi ya mmoja maana wakiwa wengi kwa story zao za kimbea na mambo mengine ya kidada-dada wanayohadithiana, la!, utaharibikiwa kuliko hapo ulivyo!
ila sheng lako funika bovu lazima wakuzimie mbaya.
kwani mkuu we ndio unamwandikia mwamba wa kaskaz mistari?, kwani mistari yako 6$ kama jnature!
 
Ha_ha_ha siijui hiyo kalamu jomba, Joh anaandikia bic.But thanx kw ushauri big up bredda.
U made me happy pleo #pleo
 
Last edited by a moderator:
I'm from northern Tanzania, looking for a sis* who will like me to be his adopted brother.

Natoka kaskazini, namuhitaji dada wa hiari, Aliye tayari ani check kwa mafahamiano zaidi, dada ni dada umri wake I don't care, but me I'm 25 yrs old.

Contact email chugaraa.tz@gmail.com or inbox me PM

Apa umepata dada wa hiari nipo ni PM
 
una kipato isije ikawa unatafuta dada wa hiari wa kuwa unampiga mizinga
 
jibu swali na bigdada hapo juu kisha uniamkie kama dada yako.

bigdada kaua bendi kwa mleta uzi. hahaha, sasa wewe si unanipeti-peti bure jamani? au ndo unataka wa kumpeti-peti kwa malipo? shikamoo dada mkubwa
 
I'm from northern Tanzania, looking for a sis* who will like me to be his adopted brother.

Natoka kaskazini, namuhitaji dada wa hiari, Aliye tayari ani check kwa mafahamiano zaidi, dada ni dada umri wake I don't care, but me I'm 25 yrs old.

Contact email chugaraa.tz@gmail.com or inbox me PM

Her adopted brother.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom