Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,467
- 9,007
ajibu hilo swali kabla sija m PM
hahaha hapo ushamvunga speed-governor ! Bigdada, mimi nakutaka kwa ''udada wa hiari'' ila sina kipato. teh teh teh
ajibu hilo swali kabla sija m PM
una kipato isije ikawa unatafuta dada wa hiari wa kuwa unampiga mizinga
Kwa hiyo hutaki dada mwingine???Nimeshampata naenjoy kuchat nae na kuongea nae ananishauri mambo mengi.. I love u my sista,.. Big up to jf