Hii guys.....natafuta mwenza wa humu ndani mie sio mwenyeji sana..
Mie ni binti mrembo tuu kutokea Rchuga...
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
mbona unatuzibia bahati ?
Naomba unisaidie nisije kutapeliwa humu ndani mwaya sitaki mwanaume wa mtuu