Sipendi Uchawa
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 8,089
- 12,812
Naweza kukutumia mpesa[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Mi nipo dsm mkuu
Naweza kukutumia mpesa[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]Mi nipo dsm mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]Naweza kukutumia mpesa[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
We hauna mkuuKila la kheri...
Sina...We hauna mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mganga wangu kasema anataka malipo kwa shillingi 200 200 tu sijui anacheza dubwi
Nenda bank kaombe change watakupa 200 za kutosha.
TapeliNatafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Tafadhali nisaidie kupata mhusika anayeuza sarafu hizo. Asante sana.
Ficha ujinga wako chiefTapeli
Wiki nzima nmepata laki mbili tu [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu upo serious na hili swala hadi unatisha sasa [emoji23][emoji23]
Watu wanaogopa shirki Mkuu 😂😂Wiki nzima nmepata laki mbili tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu kitu rahisi sijui watu wanawaza nn yaan mi nazitaka nikachezeshe dubwiWatu wanaogopa shirki Mkuu [emoji23][emoji23]
Tuvumilie mfungo upite MkuuAfu kitu rahisi sijui watu wanawaza nn yaan mi nazitaka nikachezeshe dubwi
Kweli mkuu tutazipata tuTuvumilie mfungo upite Mkuu
Sawa ujinga wanguFicha ujinga wako chief