Young_Billionaire
Member
- Aug 6, 2017
- 26
- 22
Natafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Tafadhali nisaidie kupata mhusika anayeuza sarafu hizo. Asante sana.
Ukinipa za millioni moja nitakupa 10% commisionNatafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Tafadhali nisaidie kupata mhusika anayeuza sarafu hizo. Asante sana.
Yeye, mwenyewe anatafuta akachezee DUBWI😆Mkuu watafute wachina wenye korokoro wapo kila mahali hadi vijiji vya ndani ndani huko
Yeye, mwenyewe anatafuta akachezee DUBWI[emoji38]
Natafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Tafadhali nisaidie kupata mhusika anayeuza sarafu hizo. Asante sana.
hahaha nimecheka kwa nguvu japo naumwaYeye, mwenyewe anatafuta akachezee DUBWI😆
BOTNatafuta mtu anayeuza sarafu za shilingi 200. Tafadhali nisaidie kupata mhusika anayeuza sarafu hizo. Asante sana.
Baada ya Magufuri nchi kuanza kumshinda aliwazuia kutoa chenji bankNenda bank kaombe change watakupa 200 za kutosha.
Duh hii kaliBaada ya Magufuri nchi kuanza kumshinda aliwazuia kutoa chenji bank
Yeah mkuu 220 fair una za bei gani, kama upo dsm naweza kufata popote ulipo.Ntakuuzia kila moja sh 220,upo tayari?
Mkuu za millioni mi zinantosha kabisa, kama upo dsm naweza kufata popote ulipo.Upo mkoa gn unataka za sh ngap mm hata za milion nakupa....una sh ngap
Mganga wangu kasema anataka malipo kwa shillingi 200 200 tu sijui anacheza dubwiKwanini sh 200 tu? Wewe ni mlozi?
Bank wanasema hawanaNenda bank kaombe change watakupa 200 za kutosha.
220 mkuuNakuuzia kwa 500