Young_Billionaire
Member
- Aug 6, 2017
- 26
- 22
- Thread starter
- #21
Bado nahitaji wakuu sijapata nahitaji atleast za Millioni 1
Me nipo mwanza, sijui unazipatajeBado nahitaji wakuu sijapata nahitaji atleast za Millioni 1
Mi nipo dsm mkuu
Mzee alikuwa wa mchongo sana yuleDuh hii kali
Hili dude limekuka 200 zangu za kutosha..🤣🤣🤣🤣Yeye, mwenyewe anatafuta akachezee DUBWI😆
Litawaua lile naonaga jamaa washapiga smart gin zao wametumbua macho wanalilazimisha litoe 200 Kwa wingiHili dude limekuka 200 zangu za kutosha..🤣🤣🤣🤣
Ndo mambo gani hayo tena, kama unazo nije tuongee biasharaNingekupa ila yasiwe mambo ya Big wa Steve tu...
Nimeacha kucheza muda sanaLitawaua lile naonaga jamaa washapiga smart gin zao wametumbua macho wanalilazimisha litoe 200 Kwa wingi
Ungekuwa Arusha ningekusaidia ila kwanza sema ukweli unataka Kwa madhumuni Gani??Mi nipo dsm mkuu
Upo dsm mkuu?Zipo ,kwa siku nakupa laki tano,siku mbili milioni moja unakua imefika,ngoo pm,andaa na 10 percent chap chap
Nachezesha bonanza mkuuUngekuwa Arusha ningekusaidia ila kwanza sema ukweli unataka Kwa madhumuni Gani??
Mi nna ma bonanza mkuu habari za kuyeyusha pesa sinaShilingi mia mbili zimetengenezwa na shaba.
Shilingi mia mbili za milioni moja zinatosha kutengeneza earth rod za kubumba 40
Earth rod moja tsh 50,000/=
50,000×50= 2,000,00/=
Kwamba katika milioni moja utatoa laki?Yeah mkuu 220 fair una za bei gani, kama upo dsm naweza kufata popote ulipo.
Ndio mkuuKwamba katika milioni moja utatoa laki?
hahaha nimecheka kwa nguvu japo naumwa
Okay okayMi nna ma bonanza mkuu habari za kuyeyusha pesa sina