Habari wanabodi.
Nipo Arusha kwa muda na majukumu hayaendelei vizuri sana kutokana na shida ya umeme. Nimeona nitumie muda wa ziada unaopatikana kwa kujifunza. Hivyo, naomba kujuzwa chuo kinachofundisha Kifaransa angalau nijiweke busy na kuongeza knowledge.