Natafuta chuo cha ufundi nisomee kusuka na kushona nguo Arusha

Tuchki

JF-Expert Member
Feb 1, 2017
1,740
1,441
habar ndugu zangu poleni na majukumu. Naomba kwa yeyote atakaye weza kunijulisha sehemu nitakapo Pata chuo cha kujifunza ufundi wa kusuka nywele mitindo yote za wadada pamoja na ushonaji wa nguo please nipo arusha.
 
Wakuu hivi pia Chuo wanachofundisha inshu za kuendesha Crane na folk lift ni chuo gani
 
VETA kwa kozi ya ushonaji waone..hiyo hair dressing nenda maeneo ya Jengo la mollel stand ndogo kuna vyuo vinavyohusika na hizo ishu nakifahamu kimoja kinaitwa TUMAINI COLLEGE
 
VETA kwa kozi ya ushonaji waone..hiyo hair dressing nenda maeneo ya Jengo la mollel stand ndogo kuna vyuo vinavyohusika na hizo ishu nakifahamu kimoja kinaitwa TUMAINI COLLEGE
Asante ndugu yangu
 
Back
Top Bottom