Natafuta chumba tanga mjini

Natafuta chumba tanga mjini

Coke Zero

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2015
Posts
1,024
Reaction score
544
Wadau habari zenu naombeni msaada natafuta chumba cha kupangisha Tanga mjini maeneo karibu na mjini kama nguvumali,kwa minchi,kisosora,Sahare,donge, etc...
 
Wadau habari zenu naombeni msaada natafuta chumba cha kupangisha Tanga mjini maeneo karibu na mjini kama nguvumali,kwa minchi,kisosora,Sahare,donge, etc...
Nenda kijiji cha miaka 21,kuna rundo la madalali wapo hawana kazi,nenda kawape kazi!
 
Mbona kimya humu au hamna watu wa Tanga
 
Tupo kwa leo tumeenda msibani moshi so calm down.
 
Njoo ghetto langu tunamwaga maji na kucheza kma kambare
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom