Duh, yaani nakuonea huruma na sijuwi tu nianzie wapi maana Magomeni bwana kuna ya hajabu kwani karibia kila mtu ana sifa za kiharamia. Zifuatazo ni sifa za Magomeni na vitongoji vyake: Karibia kila nyumba ina (ma)teja ama muuza unga, makahaba, majambazi, punda, vibaka, wauza matap tap, danguro la ngono (guest bubu), waganga wa kienyeji, maji ya mto msimbazi yenye kila aina ya maradhi wakisingizia ya Dawasco, na maajab mengi tu ya kuifanya Magomeni kuwa jehanam ya kisasa. Pole lakini.