The Giant
JF-Expert Member
- Jun 24, 2012
- 504
- 96
Wakuu nimepata Kazi Masaki mwisho, sometime ntakuwa natoka very late. Kwa sasa, nipo Mbagala.
Mwez wa kumi natarajia kuhama huku. Nikipata cha 30-50 sio mbaya. Ila ni lazima kiwe na umeme na maji.
Maeneo nayohitaji Namanga, around Kimweri road na maeneo mengine ya jirani.