Natafuta chimbo la vijora

Natafuta chimbo la vijora

Kuna chimbo jumla 10k na mtandio ila ndiyo hivyo kuna mtu hataki kunipa connection yani
Mkuu sista ukiipata hii connection naomba unijulishe tafadhali, nataka nimfungulie wifi yako hii biashara...akipata kwa buku 10 yeye akiuza kwa 13 tu hajakosa!
 
Ndiyo niko napambana usijali ntakujulisha btw:Mungu akubariki kwa hilo wazo zuri na kwa kuonyesha unamjali wifi yetu kiasi hicho, dunia ingekua salama sana kama wanaume wote mngekua na upendo huu
 
amin, lazima tuwawezeshe ili muchangie ktk ujenzi wa familia na taifa kwa ujumla...Mungu akufanyie wepec ktk mihangaiko yako mkuu!
 
Kkoo msimbazi vimejaa kama vyote bei rejareja 10k .Itakuwa kunachimbo wanachukua chini ya hiyo bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom