Natafuta Charger ya Hp 655 Laptop

Natafuta Charger ya Hp 655 Laptop

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,702
Hp Charger.jpg Hp Laptop.jpg
Hello,
Natafuta charge ya laptop Hp 655 (Picha hapo juu). Naomba mnijuze ni wapi hapa dar ntapata charger original (genuine) and at a fair price.
Thanks in Advance.
 
Nenda kariakoo kwenye round about ya uhuru,mkono wako wa kulia kama unaelekea kituo cha daladala cha kongo,kuna vijana wanauza vifaa vya music kwenye korido,wanazo hata mi wiki jana nimepata hapo,baada ya kuzunguka sana,na bei zao c mbaya sana,mi nilipata kwa elfu 45,ya toshiba.
 
Nilitafuta sana charger ya hp DSM sikupata, nikafanikiwa kupata Arusha 'Benson'; wajaribu hao;
 
Thanks mkuu...Ntawacheck, ingawa nafkiri ni vizuri kununua kwenye frame just incase kama ina tatzo narudisha. Hao wa kwenye corridor unaweza nunua ukarudi kesho ukakuta hawapo. All in all thanks for ur advice.
 
Nilitafuta sana charger ya hp DSM sikupata, nikafanikiwa kupata Arusha 'Benson'; wajaribu hao;

Nko Dar mkuu..Kama unaweza ni link na dealers wa hapa Dar itakua poa sana !!
 
Back
Top Bottom