Wana jf, ninatafuta chainsawa machine, iwe ya kukodi au kununua ambayo inatumika, ninaihitaji kwa ajili ya kukatia miti shambani, mwenye nayo au ambayo anajua nitaipataje tuwasiliane, naomba ani pm.
Natanguliza shukurani
Kama una shamba kubwa na utaendelea kuihitaji ni nzuri ukinunua mpya maana mara nyingi ni vigumu kujua kwa nini mtu anauza anayonayo.Chainsaw zitumikazo zaidi TZ ni Husqvarna ns Stihl na zinapatikana DSM.
Wana jf, ninatafuta chainsawa machine, iwe ya kukodi au kununua ambayo inatumika, ninaihitaji kwa ajili ya kukatia miti shambani, mwenye nayo au ambayo anajua nitaipataje tuwasiliane, naomba ani pm.
Natanguliza shukurani
vip mhubiri chaisaw ulipata ni bei gani? ninahitaji
mkuu, ninayo used imetumika tangu oct 2013, naweza kukukodishia au kukuuzia ukihitaji. contact 0686822006Wana jf, ninatafuta chainsawa machine, iwe ya kukodi au kununua ambayo inatumika, ninaihitaji kwa ajili ya kukatia miti shambani, mwenye nayo au ambayo anajua nitaipataje tuwasiliane, naomba ani pm. Natanguliza shukurani
habari ndugu? Nauza yangu aina ya husqavarna 272 ni mpya nimetumia mwezi mmoja tu naiuza bei utakayoiweza..tuwasiliane hapa kwa kuni pm au highquality169@gmail.comWana jf, ninatafuta chainsawa machine, iwe ya kukodi au kununua ambayo inatumika, ninaihitaji kwa ajili ya kukatia miti shambani, mwenye nayo au ambayo anajua nitaipataje tuwasiliane, naomba ani pm.
Natanguliza shukurani