Kuna kijana mmoja alikuwa yuko bize kusoma, bibi yake akamuuliza 'mbona unahangaika hivyo mjukuu wangu' kijana kajibu 'natafuta C moja tu bibi niingie form five' Bibi akadakia...Si uende branch ya CCM zipo mbili tena unapata tabu bure mjukuu wangu!!!
Kuna kijana mmoja alikuwa yuko bize kusoma, bibi yake akamuuliza 'mbona unahangaika hivyo mjukuu wangu' kijana kajibu 'natafuta C moja tu bibi niingie form six' Bibi akadakia...Si uende branch ya CCM zipo mbili tena unapata tabu bure mjukuu wangu!!!