Natafuta Boyfriend aliye serious


Yaani sifa zote ulizotaja mie ninazo kasoro tu kwenye dini mie muslimu. Pia ningependa kujua je kwa sasa unafanya kazi au ndio dada wa nyumbani wewe!?


Sent from my BlackBerry Z30 using JamiiForums mobile
 
Humu JF ukiwa na moyo mdogo unaeza tukana karbu kila mchangiaji
Moyo wa uvumiliv wahtajika
 

Ukijifiria ww mwenyewe unajifiri mzuri au wa kawaida? Je ulishawahi kugombaniwa tangia uzaliwe?
Una quality gani zitakazonifaa katika mahusiano.
What do u have to offer?
Nijibu hayo nije PM.
 
teheheheheh, Mkuu mbona umeandika kwq hisia za ndani sana. teh, mwambie na hapo kwenye degree aweke mwenye upper second na kuendelea.
 
proffesor anasemaaa.... too much selective...... mpka dini....... this is the problem now days ndo maana 28 years still searching....... just mwendane basiiiiiiiiiiii
 
No, sitafuti Mume now, natafuta Boyfriend, sikurupuki kusema Mume cause sifiirii kuoana naye so fast, nataka tukae muda wa kutosha kusomana.

WEWE KIBOKO...YANI UNATAKA MUDA WA KUMSOMA MTU?

HUKUSOMA BIOLOGY SHULENI KWENU...ANATOMY OF HUMAN BEING?....HUJUI REPRODUCTIVE SYSTEMS, NERVE SYSTEMS DIGESTION SYSTEMS ETC...

AU HUKUSOMA PIA HISTORIA...EVOLUTION OF MAN...HABARI ZA CHIMPANZEE, HOMO-HABILLIS, HOMO-SAPIENS....AU UMESAHAU HABARI ZA OLDVAI GORGE....NA JUZI KATI RAIS KIKWETE KAFUNGUA KITU HUKO AKAPITIA KWA BABU WA LOLIONDO KUGONGA KIKOMBE.

HUKUSOMA HISTORIA YA FORM TWO...MAMBO YA RISE AND FALL OF AFRICAN EMPIRES...MAMBO YA MALI EMPIRE MAMBO YA KINA MANSA KANKAN MOUSSA?....HUKUSOMA MAMBO YA SHONA AND MATEBELE UPRISING?...KINA CHIFU MANGUNGO WA MSOVERO KINA KARL PETERS ETC

UNATAKA KUMSOMA NINI MWANADAMU AMBACHO HUJAFUNDISHWA SHULENI?...HUKUSOMA SIASA..TENA UMESOMA CHUO KIKUU NADHANI NI DEVELOPMENT STUDIES (DS)...WEWE UNATAKA KUMSOMA NINI MWANADAMU MWENZIO AMBACHO HUKUFUNDISHWA SHULE?


HAYA KAMA HUJAFUNDISHWA SHULE HATA ELIMU MTAANI HUNA?.....HUJUI NINI MTAANI KAMA WANAUME SURUALI, KINA SUPER MARIO-BAROTELLI, HUJUI NINI KWA KUJIFUNZA KUPITIA WEMA NA DIAMONDI WAKE?....AU HATA SOMO LA LULU NA KANUMBA HUJAJIFUNZA KUHUSU WANADAMU?...

AU HUJUI NINI KUHUSU VIGODORO, BAIKOKO NA KANGA MOKO NDEMBENDEMBE, LAKI SI PESA MILION LAWAMA......

HUJUI NINI KUHUSU MICHEPUKO NA NJIA KUU MPAKA KIBONDE AMETENGENEZA TANGAZO LA MICHEPUKO KAISHIA MAHAKAMANI KUJIBU KESI.....

HUJAJIFUNZA NINI DUNIA YA LEO MIAKA 28 KUHUSU WANADAMU...HUJAMSIKIA KAMANDA KOVA NA UTII BILA SHURUTI?

SEMA LEO TUJUWE UNATAKA KUMSOMA MWENZIO UJIFUNZE KIPI KIPYA CHIMI YA JUA AMBACHO HUJAWAI KUKUSIKIA AU KUKIONA?

at least for now i do care.......ni hayo tuu.
 
Kazee kengine leo ndo kamekumbuka kuolewa


Ningekuwa na kiherehere cha kuolewa, ningeolewa hata before 22, by the way thank God ukoo wetu hatuna nature ya kuzeeka kulingana na umri, mtu anaweza kuwa 45 ukadhani ana 31. Kikubwa kwenye ndoa sio kuvamia tu, watu wengine wanaoana kisa kina fulani wameoana, kama fashion mwisho wa siku hata mwaka hawawezi kuvumiliana, bora uwe single kuliko kuingia kwenye ndoa na mtu msiyewezana vizuri, mwisho wa siku mwaweza pigana hata risasi kama si kuachana na kuwaacha watoto wenu hawana raha na maisha mapya watakayoishi kutokana na nyie kuachana.
 

Ila nako kuoa mtu mwnye tabia unayoitaka au kuolewa na mtu mwenye tabia unayoita, si kwa kuchagua wala kwa kusubiri. Japo ni bahati tu. Unaeza ngoja sana na bado ukapotea na unaeza chagua sana bado ukapotea vilele.
 
Ila nako kuoa mtu mwnye tabia unayoitaka au kuolewa na mtu mwenye tabia unayoita, si kwa kuchagua wala kwa kusubiri. Japo ni bahati tu. Unaeza ngoja sana na bado ukapotea na unaeza chagua sana bado ukapotea vilele.

Better kuchagua ukapotea/ akabadilika later kuliko kuwa na mtu ambaye hana tabia unazotaka ukawa naye tu ilimradi, kama ulichagua angalau hutajilaumu sana, labda pia unaweza mrudisha alivyokuwa mwanzo, tofauti na mwenye tabia zisizokupendeza ni kero mwanzo mwisho, akibadilika kuwa mstaarabu ni bahati.
 

Hapo ndo hesabu za probability zina husika na maombi ya kutosha. Kisa cha kuwepo kwa ndoa ni kutokana na kubadilika kwa tabia za watu. Ingekua hakuna kubadilika watu wangependana milele na kusingekua na wazo la kutafuta mngine. Ila ndoa ndo imekuwepo ili hata mkibadilika hakuna kuachana.
 
Ila nako kuoa mtu mwnye tabia unayoitaka au kuolewa na mtu mwenye tabia unayoita, si kwa kuchagua wala kwa kusubiri. Japo ni bahati tu. Unaeza ngoja sana na bado ukapotea na unaeza chagua sana bado ukapotea vilele.


Kwa mfano, ni bora uwe single/ uishi maisha yako ya kawaida or uolewe na mtu muishi maisha ya kawaida kuliko kuolewa na mwanaume mfano mfanyabiashara mwenye maisha ya juu ambaye kwenye mambo yake ya kibiashara ni mtu wakudhulumu sana wenzie, huyo hafai, atailetea familia matatizo na kuwaingiza kwenye beef zake na wengine.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…