natafuta body ya Toyota corolla Ti ya mwaka 1999

natafuta body ya Toyota corolla Ti ya mwaka 1999

Shokolokobangoshey

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
311
Reaction score
82
Waungwana wanaJF habari zenu na poleni kwa pirika za maisha dhumuni la mtiririko huu kutoka kwangu ni kuulizia kama kuna mtu yeyote hapa jamvini anayo au anamfahamu mtu anayeweza kuuza au sehemu napoweza kupata body ya toyota corolla AE110 toleo la mwanzoni kabisa la mwaka 1999. Na hata mwenye idea ya bei nitashukuru zaidi na uwezekano wa kupatikana Arusha will be more appreciated! Natanguliza shukrani kwenu wandugu.
 
Poa mi nina Corolla Ltd E100. ya 1993. TI ikoje? mbona TI ni toyota calina?
 
nijulishe mi nina collola limited ya 2003 japani manual unaitaka
 
Back
Top Bottom