Habari zenu wapendwa, kuna mtu aliweka tangazo kwenye website ya kupatana body ya gari ya Chaser sx80 tatizo hakuweka mawasiliano yake aliweka tangazo tu hiyo body ya chaser sx80 nimeweka na picha zake, natafuta body kama hiyo namba yangu ya simu ni 0716 00 23 23 kama unayo.
Nimejaribu kutafuta Tandale body ya hiyo gari nimekosa, je ni wapi kwengine ambapo naweza pata kwa bei nafuu?
Nimejaribu kutafuta Tandale body ya hiyo gari nimekosa, je ni wapi kwengine ambapo naweza pata kwa bei nafuu?