Natafuta blackberry z 10 used

Natafuta blackberry z 10 used

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Heshima kwenu wote


Najitaji kununua Bb z10 used offer budget Yangu ni laki 4 tu... kama kuna mtu anauza tuwasiliane
 
Heshima kwenu wote


Najitaji kununua Bb z10 used offer budget Yangu ni laki 4 tu... kama kuna mtu anauza tuwasiliane

550,000 original from uk, nakutumia within one week ukiipata unanipa hela yang...
 
kwani nakukabishi wewe! inafikia sehemu unaiona umeridhika unatoa pesa ujaridhika kula tano, unadhania nimekuja mjini kwa mbio zamwenge, nawaletea watu wengi Sana simu kila baada ya week 2
 
Nitafutie iphone5


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom