natafuta binti

nahitaji kuwa na binti wa kuwabadilishana mawazo

Hapa ndo mahali pake. Kuna akina Lizzy, Afrodenzi, King'asti (ila huyu ana binduki so be careful with her). Pia kuna Preta, Katerelo, Gaijin na wengine wengi. Hawa wote ni masista duu.

Ukitaka wamama wamama kuna akina Nyumba Kubwa, Firstlady1, WomanOfSubstance, BiMkubwa, na MwanajamiiOne.

Ushindwe wewe tu sasa.
 
KeiEi nitake radhi ....mimi sio sista du!!!
 
Hapo ndo nnapokupendea...
So nibadilishane mawazo yangu na mshkaji au nimpotezee?!

Waachie akina ADII, Rose1980, na AfroD. Wewe endelea na mengine bila kumasahau Zawadi. Nina hamu sana ya kusoma mwisho wake.

By the way, Ally wa Kitaa yuko maabara anatengeneza mixtape. Kaniambia anataka u-spit kama bars mbili au tatu hivi kwenye ngoma yake moja hivi kali sana. Unaonaje? Unaweza ukasababisha?
 
Kevin Ambrose sikujua kua nawee upo katika list ya wakorofi...lol
Ngoja basi in your courtesy ni m-pm jamaa....
 
Waachie akina ADII, Rose1980, na AfroD. Wewe endelea na mengine bila kumasahau Zawadi. Nina hamu sana ya kusoma mwisho wake.

By the way, Ally wa Kitaa yuko maabara anatengeneza mixtape. Kaniambia anataka u-spit kama bars mbili au tatu hivi kwenye ngoma yake moja hivi kali sana. Unaonaje? Unaweza ukasababisha?

Orait ngoja niwaachie basi.Alafu Zawadi ngoja ukute hujasoma alafu unasisitiza nifanye kazi...ntakupa mtihani ujue!!

Hahhha AwK mbona ana mbwembwe hivyo?!Tangu lini akawa msanii?!Hata hivyo hamna noma kama ana mistari inayoeleweka...mwambie he can count me in.
 
Looh! Mfano, mi nikupe mawazo yangu alafu na we unipe yako....yaani tuwe tunaendelea kuwaza tu, akhaa!! Kwanza mi niliambiwaga mawazo yanasababisha presha mweeh!
 
Back
Top Bottom