Natafuta Binti wa kuoa

Natafuta Binti wa kuoa

Tumbili in town

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
340
Reaction score
500
Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.

Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya

Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam
 
Unataka bikra mitandaoni vwewe ni bikra?
FB_IMG_17147986103708502.jpg
 
Ni wakati sasa wa kuoa nimeona nitoe taarifa na humu oengine wapi au kuna watu mnawajua wenye sifa hizo nili hatimae na mimi nipate mke.

Sifa zangu;
Mrefu wa wastan na mwembamba
Awe muislam
Businessman (apex. 4 mil/month)
Umri 26 years
Elimu; Form six
Location ; Mbeya

Sifa zake ninaemhitaji;
Awe mrefu ila asinipite
Umri 19- 24
Awe mwembamba
Awe bikra
Itapendeza akiwa mweupe
Elimu yoyote
Awe Muislam
ushajitibu tatizo lako la nguvu za kiume? utakuja chapiwa bure tafuta suluhisho la kudumu kwanza ndiyo ufikirie kuhusu ndoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom