Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 79,037
- 168,676
Sio basi KakaJambazi ni hivi vi BMW new model.Kwanini binti na isiwe kulipeleka nyumba ya kulea watoto yatima?
Naomba niwe mpiga picha wakati wa makabidhiano ya haka kamotokaa
Nina gari kali sana, naona sina la kufanya zaidi ya kumtunuku mrembo.
Ningewapa wazazi wangu kijijini, lakini kijijini kwetu kwa uchawi ni balaa.
Ukiwa na nyumba ya bati, lazima mpukutike ukoo mzima.
Gari linaniwasha kutoa zawadi, nami wa kumpa sijampata.
Kupitia jukwaa hili naomba mrembo mmoja ajitokeze nimtunuku.
Umri kuanzia miaka 18, umbile lolote, elimu haijalishi, dini yeyote, rangi yeyote.
Karibuni sana mabinti
Mwl Evelyn Salt habari za sgnd?
Miss you sana!