hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,036
- 3,841
Dah kauchuna aseehKwahiyo alikumwaga๐๐๐
Pole sana mkuu endelea kuwagonga๐๐Dah kauchuna aseeh
Asaidike na nini wakati kashajipataNa umalaya hautomsaidia
Msalimie mchumba uliyempata JFSawa naomba asipewe ushauri
Ukituma nauli umepigwa๐๐๐Duuuuuuuh ๐ a wiiiiiiiii awaaaaaaaa eti yupo GEITA ๐
NAOMBA MSALIMIENI NINYI .
Kabisaaaaa , nisha wahigi liliwa shida na binti moja hivi alikuwa anamtoto , nikamtoa kijijin to town .Nikamuweka kwa mabavu dukani ebwana si alituchora akaiba pesa akaondoka .Kaenda zimeisha kaanza tena kulialia eti ananipenda alifanya hivyo kwaajili ya kwenda kumtoa kaka ake jera ๐๐คฃ๐คฃ.Ukituma nauli umepigwa๐๐๐