L lissa david Member Joined Mar 3, 2017 Posts 45 Reaction score 12 Jun 25, 2017 #1 Habar za muda huu wadau,jamn mtu yoyote ambae anaweza kunisaidia kupata msichana WA kaz naomben msaada wenu wapendwa.mm niko mbeya nipigien 0652700831
Habar za muda huu wadau,jamn mtu yoyote ambae anaweza kunisaidia kupata msichana WA kaz naomben msaada wenu wapendwa.mm niko mbeya nipigien 0652700831
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,121 Reaction score 165,987 Jun 27, 2017 #2 Mbeya sehemu gani? Kuna msichana alikuwepo Igurusi Ngoja nikuulizie