NATAFUTA BETRI YA LAPTOP HP PAVILLON dv7

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
647
284
jamani nimezunguka siku nzima hapa Dar kwenye maduka yote yanayoaminika makubwa kwa kuuza computers na accessories lakini nimechemka, natafuta betri ya Lapton HP pavilon dv7 ambayo kulingana na specification zake imeandikwa (betri 509422-001) Tafadhari naomba jitihada zawanajamvi kuniunganisha na mahala ambapo naweza kupata
Thanks
 

Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,442
2,466
kuna duka moja lipo karibia na BP nyuma ya jengo la xtelecom, nimesahau jina lakini ukishafika hapo bp utaliona limetazamana na BP wale ndio wanakuwa na assessory zote za laptop na pia watakushauri cha kufanya na bei zao nzuri.
 

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
647
284
kuna duka moja lipo karibia na BP nyuma ya jengo la xtelecom, nimesahau jina lakini ukishafika hapo bp utaliona limetazamana na BP wale ndio wanakuwa na assessory zote za laptop na pia watakushauri cha kufanya na bei zao nzuri.

Nakushukuru mdau, lakini pale nimefika hawana panaitwa KVD wamekiri hawana!!!!!!!!!!!!!!!!! bado naendelea kuomba in case kuna mahala kwingine
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,940
1,427
UKikosa pote kama una paypal nenda hapa Kwa huyu Muuzaji wa ebay

fanya shopping zaidi unaweza kupata za bei nafuu zaidi tafuta wanaoubali kufanya shipment Tanzania kama huyoniliyekupa link yake. Soma specification zake vizuri zaidi usije usije ukanunua kitu sahihi lakini chenye enye nguvu kubwa au ndogo zisizoendana na laptop yako.


kama 509422-001 ndiyo part number tumia hiyo hiyo kuhakiki kama ni betry sahihi au kumuuliza muuzaji
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom