Natafuta betri original ya laptop hp(compaq).

Shaycas

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2009
Posts
906
Reaction score
112
Ndg wadau wa jukwaa hili, naomba mwenye kuniwezesha kupata betry hiyo anisaidie.
Laptop ni hp (Q)Model pesario CQ 61..
SHUKRANI SANA.
 
Mkuu fanya hivi unajua kupata battery za laptop sometime ni issue sana cha kufanya nenda pale computronix unaweza kwenda kuwapa advance payment wanakuagizia ikifika unamalizia na unachukua battery yako pia kuna jamaa yangua anafanya hiyo kitu ila no yake sina kwa sasa.
 
Hao jamaa office zao zipo wapi hapa Dar
 
Back
Top Bottom