Natafuta betri la ipod 7generetion wapi nitapata

Naona umeingia kwenye mtego wa watengenezaji wa kitapeli. Ki uhandisi unapotengeneza kitu unaweka 'interchangeability' kwenye spare parts zake. Bila hivo unamweka mtumiaji kwenye utegemezi wako na uwezekano wa kusimamisha matumizi ya kitu hicho mpaka spare itoke kwako. Ni wengi wanakutana na tatizo kama lako. P 40 ni battery ya simu ya startimes. Mwaka wa pili natafuta siipati!.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom