Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,488
- 100,883
Wadau, natumia simu tajwa hapo juu, naombenii msaada wenu ni wapi naweza pata betri yake original maana hiii niliyonayoo ni full kimeo haiwezi ku-last hata kwa two or three hours, ni wapi zinauzwa na kama ni original at least yenye uwezo wa kukaa 12hrs basi huku nikiwa nimejimwaga JF vya kutosha na kupiga na kupokea simu. natanguliza shukrani, waweza kuniPM tu,
Blessed
Blessed