Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Dec 8, 2014 #1 Wadau mnaweza kunisaidia kupata battery ya hiyo simu apo juu (Vodacom smart kicka)
Vodacom Tanzania Official Account Joined Aug 12, 2013 Posts 324 Reaction score 126 Dec 10, 2014 #2 Habari Nafikiri, vipi betri iliyokuwa nayo imepotea?
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Feb 5, 2015 Thread starter #3 Ndio ilibiwa nlivyopeleka kuchaji