Sina hakika kama sasatel wamekufa kabisa maana naona baadhi ya ofisi zao zipo wazi bado. Nakushauri uchomoe hiyo battery uende nayo pale KVD Shop posta (indira gandhi street) wanaweza kukupatia au kukufanyua modification ya battery nyingine lakini vipimo sawa