jaxonwaziri
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 375
- 195
Wakuu, hii simu nililinunua mwaka jana but inakula moto si mchezo, haizidi kukaa na chaji zaidi ya siku moja. Natafuta battery ili nibadilishe ikae na moto japo siku tatu kwa matumizi ya kawaida. Kuna watu waliniambia hizi smart phones hazikai na chaji kisa systems zake ni kubwa sana. Enlighten me please kwa walio na ufahamu zaidi, isijekua natafuta battery ila tatizo litabaki pale pale