Natafuta bajaji ya mkataba

Natafuta bajaji ya mkataba

sister mongi

Member
Joined
Oct 13, 2020
Posts
5
Reaction score
1
Habari ndugu mimi nikijana wa miaka 30 nidereva natafuta bajaji au pikipiki ya mkataba au anaejua sehemu wanatoa mikataba anisaidie niweze kujikimu asanten
 
Uko wapi?
Katika Uzoefu wako umeshamaliza Mikataba Mingapi?
Na Mkataba wa Pikipiki au Bajaji unafanya kwa muda gani?
 
Niko mbezi

Nishafaya mkataba wa kuedesha kupeleka hesabu nimefanya miwili.

Mkataba wa bajaj ili nimilik iwe yangu kwa siku n elfu 20 kwa pikipik ni elf 10 kunawanaofanya mwaka kunawanaofanya mwaka na miez 4
 
Wewe utafanya kwa muda gani?
Vigezo vya kuchagua mwaka au mwaka na miezi minne ni vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom