Natafuta Baggage Wrapping Machine ya kununua

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,370
Reaction score
3,572
Baggage Wrapping Machine ni mashine itumikayo airports kuzungushia mizigo ya ku-check in kwa kutumia nylon ili mwizi imuwie vigumu kufungua mzigo na kuiba.

Kama unaweza kunilengesha sehemu naweza kununua hiyo machine please do so with zero hesitation.
 
Check www.ebay.com au www.bidorbuy.co.za , nadhani huko waweza pata kwa bei nzuri.

Back
Top Bottom