Natafuta baba watoto

Najua pm imejaa,ukizimaliza kisoma nialike tuyajenge

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Ni pm

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
Napita tu

Sent from Iphone price 5Mil
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.

Kuna kipindi humu uliwapondea sana wanaume leo hii unawatafuta? Very sad!!.

Unaambiwa usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka leo bado huna mume na bado unakuja na vigezo uchwara.

Subiri bado kidogoooo............utaelewa tu.

"the highest risk should give maximum profit"
 
Fanya discount kidogo ya miaka ilinamim nitume cv yangu

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Mm Nina Kibamia, Vp Nakidh Vgezo? Maana Hujazungumzia Kuhusu Dushe, Au Mpaka Unionje Kwanza?
 
Umepunguza nyama uzembe?maana ubonge wako ni tatizo.

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Nimepeleza miaka 17
Bila hivyo lazma ningekuoa kbsa
 
Apo kwenye kungonoka usije kuuziwa au kuuza mbuzi kwenye mfuko. ''test before use''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…