Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Hii nafasi ni yangu moja kwa moja!!....... ila sina uhakika kama chura ipo!


Sent from my Armor using JamiiForums mobile app



Sent from my Armor using JamiiForums mobile app



Hao wazee wanatress siku hizinataka mtu wa kumdekea bna aaah
KWELI uko kikazi zaidi lazima ubebe Zigo hapahapa JamiiForumsnatafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki
uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
Wewe bint, si kuna jamaa analialia sana humu jf kwa maelezo kuwa anakushobokea!atakaekuwa wa kwanza kunitafuta nitamfikiria zaidi labda tushindwane tu ndo nitatafuta mwingine
ana mke yuleWewe bint, si kuna jamaa analialia sana humu jf kwa maelezo kuwa anakushobokea!
Ukawa unaruka comments zake unajibu za wengine.
Nikajaribu kukusihi uhangaike naye bila mafanikio yoyote.
Alihojiwa sana na wana jf kwamba anakupendea nini wakati jf ni kama gallaxy?
Nikatetea kwamba kakupendea sauti ya mwandiko kama wapendavyo vipofu kwa sauti.
Nadhani huyo ungeanza naye kwa kum-interveiuw umri wake. Kisha kwenye foleni utakayotegeneza umpachike namba1.
Huyo jamaa anakuhusudu.
ahaaa acha utani bna niko seriasBwahahahahaha unanifuraishaga sana na iyo light sense of homour yako, iyo email umetunga kwa kazi ii peke yake nin Miss Natafuta
Ok. Ok!ana mke yule
Na Mimi najua upo serias unadhani kutengeza watoto ni kazi ya kitoto ni serias job,.. Full time,ahaaa acha utani bna niko serias
shukrani mkuuAll the best my dear
Sent from my SM-J320H using JamiiForums mobile app
Yote sawa...sema ujirizishe wewe usiongelee wenzako
ahaaaaa lohkwani wewe hujapataga tu? watu wa umri uliotaja tuna mambo mengi ada na familia zinatutazama tafuta vijana wenzio
ahahaaaNa Mimi najua upo serias unadhani kutengeza watoto ni kazi ya kitoto ni serias job,.. Full time,