Natafuta angle gauge

mashine

Member
Feb 24, 2013
90
27
ee79a571596eeb92b567181ee34a5bed.jpg

Kwa msaada wahusika kukipata kifaa hiki.
 
Nenda BN Machines:

Mikocheni jirani na chuo cha Tumaini along Cocacola road upande wa kushoto ukiwa unatokea Mwenge..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom