Natafuta Angel Investors

komunte

Member
Aug 24, 2012
46
22
Wadau mimi ni kijana nimemaliza degree mwaka huu, ajira nimekosa lakini nina idea yangu niliiweka kwenye business plan na inahitaji mtaji wa 1.5Billion na ROI ni 30%.

Nisaidien wakuu niweze kupata Rich Investor wa kunifadhili au nianzie wapi..!!

Thanks
 
Its very difficult to trust a university graduate with such a whooping amount, even your dad won't dare it.

Na-invest kwenye less risky asset i.e land ..ambapo si rahisi kupoteza all of Invested money
 
Wadau mimi ni kijana nimemaliza degree mwaka huu, ajira nimekosa lakini nina idea yangu niliiweka kwenye business plan na inahitaji mtaji wa 1.5Billion na ROI ni 30%.

Nisaidien wakuu niweze kupata Rich Investor wa kunifadhili au nianzie wapi..!!

Thanks

Mmmmh,mdogo wangu...wote tuna shida na wote tuna idea mbalimbali lakini hii ya kwako haijakaa sawa kusema ukweli,jinsi ulivyoweka hicho kiwango cha pesa tu sidhani kama hata huyo angel investor atashawishika kukusaidia,na jaribu pia kufanya research kuweza kujua hicho unachotaka kukifanya kitalipa kiihivyo kama unavyohitaji huo mtaji?lakini pia engel investors wapo wengi sana tu na wapo tayari kusaidia watu wenye mawazo mazuri but ni bora kuanzia kidogo kidogo sio kiasi kikubwa namna hiyo unless otherwise huyo mtu awe partner tena mwenye hisa nyingi kuliko wewe mwenye idea,though unaweza kujipanga vizuri ni kuweka ideas zako vizuri kiasi kwamba watu hawatazitilia shaka kuliko kuja na kiwango ulichokitaja...wish u best of luck!
 
Idea yenyewe ya Kibiashara imefichwa kwenye ardhi, na ardhi ni less risky asset.
 
sitakiwi kukukatisha tamaa lakn mambo siyo rahisi kiivyo. jaribu kuanza na pesa ndogo ndo ufike 1.5bn after 5-10years
 
Mkuu,wakati tumemaliza chuo tulikuwa na ideas kama zako,tena tulipata support kubwa ila mwisho wa siku hatukufanikiwa,trust me kataftte ajira kwanza,kama ukiaminiwa kazini bas hcho ni kipmo cha kuweza kumtoa mtu 1.5b,otherws anza hata na 20m ambayo wadau weng wanazo
 
Wadau mimi ni kijana nimemaliza degree mwaka huu, ajira nimekosa lakini nina idea yangu niliiweka kwenye business plan na inahitaji mtaji wa 1.5Billion na ROI ni 30%.

Nisaidien wakuu niweze kupata Rich Investor wa kunifadhili au nianzie wapi..!!

Thanks

Unamanisha billion/million???
 
Never give up mkuu, its possible..try pia kucheck linkedin website kuna angle investors group kadhaa.unaweza pata, pia kuwa makini na scammers
 
Wadau mimi ni kijana nimemaliza degree mwaka huu, ajira nimekosa lakini nina idea yangu niliiweka kwenye business plan na inahitaji mtaji wa 1.5Billion na ROI ni 30%.

Nisaidien wakuu niweze kupata Rich Investor wa kunifadhili au nianzie wapi..!!

Thanks
Sorry,if 1.5Billion is what you need,have you projected what is the "pay back period"?
 
bro anza kidogo kidogo. Kama idea yako nzuri tafuta kiwanja then kaombe mkopo benki. anza hata na milion 5 .ongeza hela ukipata profit. ila 1.5 billion huwezi pata paaaaaaap ukiwa hauna historia ya biashara yeyote labda itoke kwa wazazi wako
 
Mmmmh,mdogo wangu...wote tuna shida na wote tuna idea mbalimbali lakini hii ya kwako haijakaa sawa kusema ukweli,jinsi ulivyoweka hicho kiwango cha pesa tu sidhani kama hata huyo angel investor atashawishika kukusaidia,na jaribu pia kufanya research kuweza kujua hicho unachotaka kukifanya kitalipa kiihivyo kama unavyohitaji huo mtaji?lakini pia engel investors wapo wengi sana tu na wapo tayari kusaidia watu wenye mawazo mazuri but ni bora kuanzia kidogo kidogo sio kiasi kikubwa namna hiyo unless otherwise huyo mtu awe partner tena mwenye hisa nyingi kuliko wewe mwenye idea,though unaweza kujipanga vizuri ni kuweka ideas zako vizuri kiasi kwamba watu hawatazitilia shaka kuliko kuja na kiwango ulichokitaja...wish u best of luck!
Mkuu unaweza shauri namna ya kuwapata hao investers kwa mtu mwenye project sahihi?

Shukran
 
Back
Top Bottom