Natafuta nafasi ya kukusaidia kazi hizi

Alber_006

Member
Nov 4, 2020
8
8
Habari zenu wakuu baada ya miaka mingi ya elimu sasa umefika wakati wa mimi hapa kijana wenu kupanda jukwaani kwa ajili ya kuomba connection pamoja na kazi ikiwezekana
Nimemaliza mwezi huu katika chuo kikuu cha sokoine cha kilimo nimesoma shahada ya sayansi katika uchumi kilimo na kilimo biashara lakini juu ya hilo

Nina ujuzi mkubwa sana wa kutumia kompyuta pia
digital marketing na ni mwandishi mzuri wa miradi (projects, business plans ) nafanya agribusiness consultation
Nina ujuzi pia wa kuandika research za aina mbalimbali na kufanya pia
Pia market research (kilimo na biashara nyingine)
Nina business ideas kibao kabatini ambazo zinahitaji mitaji tu lakini zipo vizuri kabisa kama una mtaji karibu tujadili
Ninaweza kukushaur namna bora za kuifanya biashara yako kisasa na kuiweka online kupitia kudesign websitea na kadhalika

Hivyo basi kwa mwanajukwaa yeyote atakayehitaji huduma hizo au mtu mwenye uwezo wa kufanya mambo hayo na kuzidi kujifunza mengine mengi basi asisite kunicheki kwa namba zifuatazo

0755710580 normal text na whatsapp karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom