Natafuta android bei 8000/= nipo mwanza

Natafuta android bei 8000/= nipo mwanza

Unatafuta android kama Operating system (OS) au kifaa cha ki-elekitroniki kinachotumia OS ya Android? Na kama ni kifaa je ni kifaa gani? Simu ya mkononi,Tablet,Camera,smart TV,Saa ya mkononi au nini hasa?
 
Unataka android ya "8000"??????????????????????????????????????????????.zinatengenezwa kwa magome ya miti au?
 
amesha wambia amekosea amesahihisha usemi ani elf 80,000 mkuu
 
Em njooo hapa nikuuzie samsung Y pro iko nzur sana,"touch with pad"0654715457
 
umepitwa na wakati hacha ushamba...

sio hacha.....ni acha.....halafu umeboronga unakuwa mkali.........tulia eleza shida yako........umemsoma ITEGAMATWI swali lake.....?......mimi nina sufuria ya android......bei ni hiyo.....upo wapi nikupatie............
 
Last edited by a moderator:
hacha ujanja wa mdomoni kijana ingekuwa tunaongea face 2 face ungeona ambacho kingekutokea mshenzi mkubwa
 
Unatafuta android kama Operating system (OS) au kifaa cha ki-elekitroniki kinachotumia OS ya Android? Na kama ni kifaa je ni kifaa gani? Simu ya mkononi,Tablet,Camera,smart TV,Saa ya mkononi au nini hasa?

Si ameshakuambia yupo ”MWANZA”
 
hacha ujanja wa mdomoni kijana ingekuwa tunaongea face 2 face ungeona ambacho kingekutokea mshenzi mkubwa

Kiswah chenyewe hujui,kujibu watu jf hujui,we product ya div 5 nn?afu usitishe watu wakati unanuka shida mwil mzima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom