Natafuta android bei 8000/= nipo mwanza

Natafuta android bei 8000/= nipo mwanza

Check spelling za ilo neno ulichoandka ndio umemaanisha
 
kama ni wa kiume akienda mombasa atapata kwa hiyo pesa na atapewa punguzo pia
 
Elfu themanini sio elfu nane nimekosea wakuu tatzo langu nipo vijijini sana daah!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom