wegman JF-Expert Member Jan 8, 2016 1,468 2,090 May 3, 2016 #1 Nicheki inbox kama unauza adapter tajwa hapo juu, input 1.5A output 3.5A.
wegman JF-Expert Member Jan 8, 2016 1,468 2,090 May 3, 2016 Thread starter #3 Nipo Dar kaka, ngoja nikucheki ka simu.
GeoMex JF-Expert Member Jan 10, 2014 5,431 19,862 May 4, 2016 #4 Ukishindwana na huyo nicheki inbox. Nnayo
Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member Dec 21, 2010 2,808 2,230 May 6, 2016 #5 Mkuu ungeandika ya aina gani kuna yenye pin ya round na square kama usb.