Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,230 Nov 6, 2022 #41 SNAP J said: Nimfuge. Awe rafiki na mlinzi wa nyumba yangu. Click to expand... Nikajua unataka umpunyue,kumbe hapo sawa mkuu
SNAP J said: Nimfuge. Awe rafiki na mlinzi wa nyumba yangu. Click to expand... Nikajua unataka umpunyue,kumbe hapo sawa mkuu
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Nov 6, 2022 #42 SNAP J said: Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389 Click to expand... Una hela ya kuhudumia au unataka kutesa kiumbe cha mwenyezi Mungu tuu Huyo hali ugali ulolala ujue
SNAP J said: Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389 Click to expand... Una hela ya kuhudumia au unataka kutesa kiumbe cha mwenyezi Mungu tuu Huyo hali ugali ulolala ujue
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Nov 6, 2022 #43 SNAP J said: Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389 Click to expand... Mi nina jamaa yangu anao wawili msosi wake kila siku ni nyama kilo 7 huyo ni mbwa mmoja.ila yeye kwa sasa ana nunua yale ma ronya ronya ya tumboni kule machinjioni anachanyanya na mchele ndo anawapikia
SNAP J said: Mwenye kujua jina la hii mbeg, na kwa bongo naweza kuipata wapi!?View attachment 2407389 Click to expand... Mi nina jamaa yangu anao wawili msosi wake kila siku ni nyama kilo 7 huyo ni mbwa mmoja.ila yeye kwa sasa ana nunua yale ma ronya ronya ya tumboni kule machinjioni anachanyanya na mchele ndo anawapikia
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Nov 6, 2022 #44 vibesen xxx said: Hilo likikasirika kama huna manati ya mzungu linkutanguliza fasta Kidogo limtoe roho jamaa angu Mungu saidia alikuwa na manati ya mzungu akalitanguliza Click to expand... Hivi kingunge sio kama hao walimla?
vibesen xxx said: Hilo likikasirika kama huna manati ya mzungu linkutanguliza fasta Kidogo limtoe roho jamaa angu Mungu saidia alikuwa na manati ya mzungu akalitanguliza Click to expand... Hivi kingunge sio kama hao walimla?
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Nov 6, 2022 #45 DeepPond said: Usicheze na pitbull, Hao mbwa wako Kama wanavuta bange Ndio mbwa wanaoongoza kwa kuwaua wamiliki wake View attachment 2407798 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna jamaa ana wawili mwanzoni niliingia kwake wakiwa bandani nilidhani ni ndama kala kwa kweli wanatisha
DeepPond said: Usicheze na pitbull, Hao mbwa wako Kama wanavuta bange Ndio mbwa wanaoongoza kwa kuwaua wamiliki wake View attachment 2407798 Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kuna jamaa ana wawili mwanzoni niliingia kwake wakiwa bandani nilidhani ni ndama kala kwa kweli wanatisha
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 26,362 Reaction score 39,842 Nov 6, 2022 #46 Kadhi Mkuu 1 said: Hii ndo comment ya kibongobongo. Click to expand... Hahaha
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,494 Reaction score 29,283 Nov 6, 2022 #47 Mo graphics 2019 said: Hyo hapoView attachment 2407476 Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app Click to expand... Huyu ni mbwa au muhanga
Mo graphics 2019 said: Hyo hapoView attachment 2407476 Sent from my CPH1819 using JamiiForums mobile app Click to expand... Huyu ni mbwa au muhanga
tumasa Senior Member Joined Dec 1, 2021 Posts 161 Reaction score 196 Dec 31, 2022 #48 Huyo mbwa hana tofauti na fisi nakushauri chukuwa fisi ukimfundisha anakuwa kama huyo mbwa.
M Maikoel JF-Expert Member Joined Mar 9, 2019 Posts 1,367 Reaction score 2,006 Dec 31, 2022 #49 Sanamu hiyo