Wakuu adapter yangu imeungua na nipo kwenye University Examination hapa Ardhi university,mwenye adapter ya Toshiba maeneo haya ya karibu i mean Survey tuwasiliane humu 0766458536 tufanye biashara.
Asante.
Pole halimbaya, natumaini utapata adapter. Majina mengine yanasababisha matatizo kama Masumbuko, halimbaya, Wasiwasi, Shida, Asprin, Chagueni majina yenye neema kama Mtumpole, Baraka, Neema, Upendo nk.