natafuata mixer mashine

natafuata mixer mashine

Sophia bavuma

Member
Joined
Jan 12, 2012
Posts
66
Reaction score
6
Habari wanajf kuna mtu yoyote anaye uza mixer mashine na sehemu ya kujifunza jinsi ya kubake keki zaina zote.Hata za harusi yoyote anaye jua namba yangu hii 0716316454 naomba jamani yoyote anaye jua hivi anipigia au anitumie sms mi nitampigia tuongea.

Natanguliza shukurani zangu kwenu
 
Nimeshakutumia message mixer ninayo Bado mpya ya 20 litres na ni mtaalamu pia wa mambo ya bakery.Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom