Pelham 1
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 548
- 100
Habari zenu wadau,natafuta simu hiyo nilotaja hapo juu aina ya HUAWEI Y530,Kiasi nilicho nacho ni laki 1,iwe na charge na headphones zake...hata kama imetumiwa muda mrefu ilimradi tu iwe orijino na iwe kwene hali nzuri,......pia kama una sumsung au nokia sio mbaya,ilimradi ziwe ni (android screen touch),namba yangu ni 0717 478451..!!
TAHADHARI; nazifaham simu orijino na feki,so kama ukileta feki hatutafanya biashara..kama yenyewe na nikridhika nayo nakulipa hapo hapo tunamalizana!!
TAHADHARI; nazifaham simu orijino na feki,so kama ukileta feki hatutafanya biashara..kama yenyewe na nikridhika nayo nakulipa hapo hapo tunamalizana!!