Utafiti wangu crude nilioufanya siku za hivi karibuni pia umenionyesha kuwa mbali na factors nyingi sana zilizopo zinazochzngia wasichana wengi wa siku za leo wasiolewe, lakini pia kuna makundi ya watu waliooa/walioolewa ambao wanafanya jitihada za makusudi za kuwawekea kauzibe baadhi ya wasichana ili wasiolewe. Sababu ni wivu? bado sijajau vizuri. Hii kitu ipo sana, believe me!Kila la kheri mama yangu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.