Natafta modelling Agencies

Natafta modelling Agencies

saly muh

Member
Joined
May 31, 2013
Posts
30
Reaction score
5
Nina passion sana na mambo ya urembo na modelling..mavazi na vitu vinavoendana na urembo..mwenye clue where i could get a modelling agency anisaidie wadau.muwe na mchana mwema.
 
Mpendwa njia bora ni SELF PROMOTER, SELF MODELLING AGENT and self studying, utasave gharama na TIME.....!
 
una maana wewe mwenyewe ni mbunifu??
Au unataka kufanya kazi na kampuni za namna hiyo?
 
Nina passion sana na mambo ya urembo na modelling..mavazi na vitu vinavoendana na urembo..mwenye clue where i could get a modelling agency anisaidie wadau.muwe na mchana mwema.

we jinsia gani?
 
Cjakuelewa naomba nieleweshe apo vzr
 
Back
Top Bottom