Natafta mkwe

mti wa bib

Senior Member
Oct 4, 2018
138
120
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwa hili,natafta mchumba na baadaye aje kuwa mam wa watot Wang km mung akipenda,
SIFA
1.umri kuanzia mwaka 24 mpaka 26
2.elimu form 4 mpaka university na awe na uelewa wa maisha.
3.dini mkiristo.
4.rangi maji ya kunde km mim,
5.umbo mwembamba au mnene.
6.awe tyr kupima HIV na blood group,,..
................ Niko serious sana sitaki joking hata kdg,km we na we UPO serious nifute pm
Maisha ni mwanamke na sio mwanaume.....make a good selection.
 
Ningekuwa mimi ni mwanaume wa dasalamu ningekwambia

"Mwanaume kuandika hivi huo ni umama"
 
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kwenye jukwa hili,natafta mchumba na baadaye aje kuwa mam wa watot Wang km mung akipenda,
SIFA
1.umri kuanzia mwaka 24 mpaka 26
2.elimu form 4 mpaka university na awe na uelewa wa maisha.
3.dini mkiristo.
4.rangi maji ya kunde km mim,
5.umbo mwembamba au mnene.
6.awe tyr kupima HIV na blood group,,..
................ Niko serious sana sitaki joking hata kdg,km we na we UPO serious nifute pm
Maisha ni mwanamke na sio mwanaume.....make a good selection.
Rangi ya maji ya kunde ndio nini sasa
Sisi waafrica tunaongoza kuwa racest
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom