Natafta kazi ya kuendesha gar

Natafta kazi ya kuendesha gar

Lokaseven

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
147
Reaction score
19
M n kjna mchapa kaz na pia n msanii wa mzk wa kizaz kipya napatika ktk mkoa mpya wa njombe natafta kaz ya kuendeza magar na namba yangu ya cm n.0655549389
 
M natafta kaz ya kuendesha magar na pia kama yupo m2 ambae anaweza akausapot mzk wangu pia nae anichek kwenye namba hyo hapo juu
 
M n kjna mchapa kaz na pia n msanii wa mzk wa kizaz kipya napatika ktk mkoa mpya wa njombe natafta kaz ya kuendeza magar na namba yangu ya cm n.0655549389

mimi nina gari ndogo natakata dreva anayeweza kufanya kama taxi,ila iko arusha . Kwa kuwa maisha popote,mdogo wangu uni pm,tuweke mipango vema. Kama haupendelei arusha naweza kukupa gari kwa makubaliano kimaandishi ila gari ikawa katika kazi mikoa ya dar,arusha,au bukoba...tuwasilaiane mdogo wangu.
 
Xawa kaka nichek kwenye hii namba yangu 2ongee
 
mimi nina gari ndogo natakata dreva anayeweza kufanya kama taxi,ila iko arusha . Kwa kuwa maisha popote,mdogo wangu uni pm,tuweke mipango vema. Kama haupendelei arusha naweza kukupa gari kwa makubaliano kimaandishi ila gari ikawa katika kazi mikoa ya dar,arusha,au bukoba...tuwasilaiane mdogo wangu.

sawa kaka nko tayar kwenda popote ila nchek kwenye hio namba 2ongee
 
Dogo una albam/single ngapi mpaka saa iv,Nataka niwe Fela wako,hebu Shusha free style lyrics hapa jukwaani nione ubabe wako,nijue ntakusaidiaje.Nipo Dar.
 
nina nyimbo mbili ambazo zimeshatoka tayar
 
Kwa muziki ni ngumu sana kutoka, unless uwe na uwezo na ubunifu wa ziada zaidi ya ma underground tunaowasikia kila siku.
Ushauri wangu japo siwezi kukusaidia, nakushauri uingie kwanza kwenye udereva, kama akitokea mtu anaeweza kukupa ajira hiyo then unaweza ukajiingiza taratibu taratibu katika fani yako. Unless na me ni mtafuata ajira kama wewe nakutakia mafanikio katika hustle zako.
 
axante xana kk kwa ushaul wako
 
huu mwandiko wako mmh... hivi uliishia darasa la ngapi vile?

Kwa staili hii sidhani kama unamsaidia. Amejieleza vizuri ila sasa naona unamdhalilisha. We uliyeishia PhD umetoa msaada gani mkuu? Sometime uwe unatanguliza ubinadamu mbele.
Kwa taarifa yako mafanikio yako hayatakuwa na maana sana kama jamii inayokuzunguka haijafaidika nayo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mziki wako unaimbia wapi,clab les vegas,bernabeu,kwa macheche,turbo au kwa babu tale sangamela?
 
Mi bana hli ni jesh la m2 mmoja mzk wangu bana ni popote ili mrad npate dili...
 
elimu yake imejionyesha ktk id yake ambayo ni lokoseven=la7.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom