Gulf Streamer
Member
- Aug 7, 2014
- 90
- 40
teh teh teh...hebu tuambie basi kwa matumizi yepi gari kama gx100 ikikodishwa yanastahili dhamana ya hati ya nyumba!
Swala la dhamana lina double standard, kama haujuani kabisa na mtu lazima kuwe na namna ya kutengeneza uaminifu, anaweza chukua gari na akapotea mazima, utaanza mtafutia wapi na siku 20 zishapita. Au anaweza chukua gari kumbe anataka safirishia madawa ya kulevya au magendo mengine including uharifu, japokuwa watoto wa mjini ukiwapa hati 80% inakula kwako, atakutengenezea mizengwe hata kujiibia gari lake likiwa mikononi mwako alimradi tu aweze kubaki na hiyo hati.